Rapa Rick Ross ambaye hivi karibuni amepata mtoto wa kike na mwanamitindo Briana Camille ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa ‘Santorini Greece’.

Wimbo huo unatoka katika albamu ya tisa ya rapa Rick Ross inayoitwa ‘Rather You Than Me’ iliyotoka rasmi mapema tarehe 17 mwezi wa tatu mwaka huu.

Rick Ross ambaye ni mmilikiwa lebo ya muziki ya Maybach Music Group mwanzoni mwa mwezi huu amepata mtoto wa kike na mwanamitindo Briana Camill lakini rapa huyo anadaiwa kuwa na uhusiano na mkurugenzi wa kampuni ya Twitter, Liz Hagelthorn.

Itazame video ya Rick Ross hapa chini;

Zuber Katwila atamba kurejesha enzi za 1999, 2000
Ofisi za UN zavamiwa nchini Burundi