Msanii kutoka Zambia, Roberto ambaye alitamba na wimbo unaitwa Amarula baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu amerudi na ngoma mpya inayoitwa ‘Vitamin U’ akiwa amemshirikisha nyota muziki wa bongo fleva Vanessa Mdee.

Video ya wimbo huo imetengenezwa na muongozaji wa video kutoka Tanzania, hapa namzungumzia Hascana ambaye anaonekana kuanza kuwavutia mpaka wasanii wa nje ya mipaka ya Tanzania.

Itazame video ya hiyo hapa chini;

LIVE: Rais Magufuli katika akizinduzi uwanja wa ndege Kagera
Mwalimu Mkuu amcharaza viboko mwalimu mwenzie