Safari ya ushirikiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Uganda imeanza kwa sura mpya baada ya kufanyika kwa kongamano la kwanza la kibiashara la Tanzania na Uganda lililofanyika kwa siku mbili Jijini Dar es salaam septemba 6 na septemba 7 mwaka huu.

Katika kongamano hilo lilihusisha wafanyabiashara binafsi na viongozi wa serikali wakiongozwa na marais kutoka nchi zote mbili, Tanzania na Uganda, Rais Dk. John Pombe Magufuli na Rais Yoweri Kaguta Museveni ambao waliwahakikishia wafanyabiashara kuwa vikwazo vya awali walivyokuwa navyo vitashughulikiwa haraka ili kuimarisha ushirikiano wa kibiashara baina ya nchi hizo mbili…, Bofya hapa kutazama

Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Septemba 9, 2019
Jogoo Maurice ashinda kesi mahakamani