Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Eng. Ladislaus Matindi amesema kuwa sio kweli kwamba serikali ilinunua ndege bila mpango mkakati wa matumizi ya ndege hizo.

Ameyasema hayo hii jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amekanusha taarifa zinazoenezwa kuwa serikali ilinunua ndege hizo bila kuwa na mkakati maalumu.

Amesema kuwa shirika la ndege Tanzania lilinunua ndege hizo kwa makusudi ya kukabilliana na ushindani wa kibiashara na kuboresha safari za ndege zake sehemu mbalimbali nchini.

Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 26, 2017
David Unsworth atamani kuwa kocha mkuu Everton