Serikali imesema ipo tayari kuwaachia wafungwa wengi zaidi chini ya mpango wa Parole inayoendeshwa na Augustino Mrema.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba leo septemba 15, 2016 wakati akijibu swali bungeni lililoulizwa na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule.

Mbunge Haule alihoji kuhusu mpango wa Seriklai wa kuwakamata na kuwapeleka mbele ya vyombo vya dola wanaojihusisha na mauaji ya wakulima na wafugaji huku vyombo vya dola vikishindwa kuwachukulia hatua.

Malori kumi na mbili kutoka Tanzania Yatekwa nchini Congo DRC, Manane ni mali ya Mfanyabiashara Azim Dewji
Imethibitishwa: Mabaki yaliyookotwa Pemba ni ya Ndege ya Malaysia iliyopotea