Serikali yajibu mapigo, yawapasha wanasiasa wanaohujumu maendeleo, Wingu zito eneo alikouawa kimafia kinara wa ujangili, Acacia wafunguka kesi kuidai Serikali, ni ile waliyohusishwa na madai ya kutaka trilioni 4/- kisa makinikia, yasisitiza Bombardier Q 400 kutua karibuni…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 20, 2017. Tazama video
