Simulizi ya mbowe gerezani inaliza, Maalim seif abakisha saa chache CUF, Wachungaji KKKT wahojiwa polisi, Mrembo ahukumiwa kunyongwa China, Upelelezi kesi ya vigogo NEMC bado, Malori ya diwani yanaswa magendo, Dereva Bajaj asakwa kwa kumgonga trafiki, Simba wapewa neno, Mo anogesha vita ya jumamosi…, Bofya hapa kujua habari zilizopewa uzito katika magazeti ya leo Mach 14, 2019.

 

Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Machi 14, 2019
Nigeria: Jengo lenye shule laanguka na kuua wanafunzi