Siri Bombardier nje, Miaka miwili madarakani: JPM hakamatiki, yatajwa mambo mazito yaliyotikisa, Mbunge CCM aonyesha hofu kuidadisi Serikali, Jinsi majambazi watano walivyouawa kwa risasi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Novemba 6, 2017. Tazama video

Watu 26 wauawa kwa kupigwa risasi kanisani
RC Wangabo “Hakuna Mwandishi wa habari atakayefungwa wala kuzuiwa kufanya kazi yake,”