Siri ya Masha kujitoa Chadema, atoa sababu tano za kufikia uamuzi huo, asema atafuata nyayo za Kingunge, ‘Bilionea’ wa nyumba za Lugumi asimulia alivyotekwa Urusi siku 28, Mhasibu Takukuru aingia mitini, donge nono latangazwa kwa atakaye fanikisha kumnasa…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Novemba 15, 2017. Tazama video

Jeshi la Zimbabwe latoa sababu kuweka vifaru mitaani na Urais wa Mugabe
Video: Argentina yachezea kichapo, Aguero apoteza fahamu