6 years agoComments Off on Video: Spika Ndugai aishangaa Serikali, Mvua yaleta maafa
Spika, Wabunge waibana Serikali bandari ya B’moyo, Simulizi mtoto aliyeuawa baada ya baba yake kumuuza, Chadema yapingwa, Mapapa wa utoroshaji wa dhahabu washikwa pabaya, Mvua zatikisa Mbeya, Dar, hali ya hewa tete…, Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito kwenye magazeti ya leo Mei 14, 2019.