Maajabu ya Sumbawanga ya shangaza tamasha la Wasafi Festival ni baada ya mvua kubwa kusitisha tamasha hilo kwa muda, na kusababisha tamasha hilo kurudiwa jumapili sa kumi jioni bila kiingilio ili kukata kiu ya mashabiki.

Sumbawanga pia imeendelea kuonyesha majabu baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani kutumbuiza na kuanguka mbele ya mashabiki na kuaacha maswali mengi tazama jinsi ilivyokuwa.

 

Tamasha la wasafi festival limeweka kambi Zanzibar ambapo burudani itaendelea siku ya jumanne na kufuatiwa na mikoa mingine.

Serikali yafyeka mazao ya Wakulima
Video: Membe njiapanda, Mbowe: Msinililie pambaneni

Comments

comments