Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji kuhusu marekebisho ya sheria ya kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ya mwaka 2014.

Kamishna mkuu wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata amesema haya kufuatia taarifa hizo ambazo siyo za kweli.

Makonda atangaza vita iliyomshinda Makamba, Ni muda wa kuishinda
‘Taswira ya Ali Kiba ndani ya studio ya Diamond inaongea kitu’