Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesisitiza watanzania kuendelea kudumisha maadili mema ili nchi yetu iendelee kuwa na amani. Waziri Mkuu akiongea hayo katika Swala ya Eid El Fitri iliyofanyika jijini Dar es salaam, amesema kuwa nchi yetu inahitaji uongozi wenye kuona mbali na kujali maslahi mapana ya wananchi wake, hivyo wote tuendelee kuiunga mkono Serikali yetu…

Rais Magufuli afanya mabadiliko Wakuu wa Wilaya, Amteuwa Deogratius Ndejembi
Video: Ronaldo alivyoiua Wales, Bale afunguka baada ya kipigo