Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars wafunguka walivyopigwa mawe nchini Sudan wakati mechi yao dhidi ya timu ya taifa ya nchi hiyo ikiendelea pia kocha msaidizi wa timu hiyo Seleman Matola atoa neno kuhusu michuano ya CHAN ya mwaka 2020 ambayo Stars imefuzu.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=xvwsEEz0XmE]

Kwa nini watu huchukua uamuzi wa hujiua?  ''Kuishi ni kuteseka''
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 20, 2019