Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU, mkoa wa Ilala imejipanga kufanya ufuatiliaji wa mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa Vingunguti, wenye thamani ya shilingi Bilioni 12 katika kipindi cha mwezi Oktoba hadi Desemba.

Hayo yamebainishwa na Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Ilala, Christopher Myava, alipokuwa anatoa taarifa kwa vyombo vya habari ya utendaji wa kazi kwa umma katika kipindi cha robo mwaka kuanzia mwezi Julai hadi Septemba na kubainisha mipango ya mwezi Oktoba hadi Disemba,… Bofya hapa kutazama.

Steve Nyerere: 'Nilisikia pua zinatanuka Mlima kilimanjaro sio Mlimani City'
Tibaijuka kumrudishia Rugemalira mamilioni ya Escrow