Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) sasa imenyoosha makucha yake michezoni kwa kuanza kuchunguza sakata la kufungiwa  kwa viongozi na wachezaji wa timu 4 za ligi daraja la kwanza kwa tuhuma za rushwa.

Galliani: Sidhani Kama Tutaendelea Na Balotelli
Nape Aahidi Kusimamia Nyasi Bandia Za Uwanja Wa Nyamagana