Tamasha liiloandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda la kuwakaribisha wanafunzi wa chuo wanaoanza mwaka wa kwanza limefanyika jijini humo.

Katika tamasha hilo ambalo lilihudhuriwa na watu mbalimbali lilikuwa na lengo la kuwaaga na kuwakaribisha wanafunzi wapya.

“Tamasha hili limefanyika na mmeona wasanii wengi wamepanda jukwaani, hapa hakuna msanii hata mmoja aliyelipwa, bali huu ni upendo mkubwa walionao,”amesema Makonda

Serikali kukabiliana na nguvu za atomiki mipakani
Video: Mbunge Nassari alivyonusurika risasi 13, Diallo akerwa Takukuru kumpekua