Rais Uhuru Kenyatta amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa Kenya na kuzungumza kuhusu maandamano yanayotarajiwa kufanywa na wapinzani wake NASA.

Na amesema kuwa maandamao waliyopanga kufanya wapinzani leo kushinikiza kuondoka kwa mkurugenzi mkuu wa IEBC ni haki yao kikatiba, ila wakiharibu mali za watu na kusimamisha watu wanaofanya kazi watajua kuwa kuna serikali

Naye Makamu wa Rais William Ruto, amesema tume ya uchaguzi haina tatizo, na mahakama ilithibitisha hilo kuwa maafisa wa IBEC hawana tatizo ila upinzani wanataka kufanya maandamano kwa sababu wanajua hawana uwezo wa kushinda.

Marekani 'yanawa mikono' vita na Korea Kaskazini, ndege zake kuwindwa
Kadinda amlipua Wema Sepetu ataja udhaifu wake mkubwa