Je ni kweli kipofu nae anaota? kama anaota unaweza kujiuliza ni nini hasa anaota? hilo ni swali unaloweza kujiuliza na huenda ukakosa majibu endapo utajaribu kufikiria dhana nzima ya ndoto.

Hapa chini nimekuandalia mambo matano usiyofahamu na ya kushangaza zaidi kuhusu ndoto, jifunze hapa.

Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 1, 2019
Makanisa, baa, kumbi za starehe zaonywa kupiga mziki mkubwa