Fahamu ujio wa teknolojia mpya iliyotengenezwa maalumu kwaajili ya kufichua tabia za walinzi na kampuni za ulinzi binafsi, ambayo pia inawaneemesha walizi hao ambao wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira magumu kwa muda mrefu sasa.

PSGP, ni mfumo wa teknolojia unaosimamiwa na jeshi la Polisi Tanzania kwaajili ya kufuatilia mwenendo wa kampuni binafsi za ulinzi na walinzi wenyewe, ambao umetengenezwa na kampuni iliyopewa tuzo ya kampuni bora zaidi katika utoaji wa huduma za TEHAMA Afrika Mashariki 2019, DataVision International…, Bofya hapa kutazama.

Angel di Maria aidungua Real Madrid
video: Njaa' ya Makonda yazua mjadala, Wabunge wenye kesi Chadema wajilipua