Wasanii matajiri zaidi kwa makao yao na magari. Hawa siyo mabilionea tu bali wanavipaji pia. Kuna Marapa mabilionea wengi lakini hapa nimekuwekea hii ‘Top 10’ yao wakiongozwa na Jayz akifatia mkali Will Smith na wengine. Matajiri wanatumia pesa zao kujifurahisha, kuwa na magari ya kifahari, nyumba za gharama zaidi.

Hii hapa list yao
1) Jay Z – around $45 million (Malibu)
2) Will Smith – around $42 million (Calabasas)
3) Dr. Dre – around $40 million (Brentwood, California)
4) Diddy – around $39 million (Holmby Hills)
5) Kanye West’s – around $20 million (Hidden Hill, California)
6) Lil Wayne – around $18 million (Miami)
7) Pharrell Williams – around $16.8 million (Bristol Tower Penthouse, Miami)
8) 50 Cent – around $14.5 million (Connecticut)
9) Birdman – around $14.5 million (Palm Island, Miami)
10) Eminem – around 4.8 million (Rochester Hills, Michigan )

Kuwa Single Mama ni Baraka Kubwa Sana- Faiza Ally
Picha: Mashabiki Waamkia Uwanja Wa Taifa