Video: TRA imeuleta mfumo kuhakiki, kuboresha taarifa za mlipa kodi
8 years ago
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imezindua mfumo wa kuhakiki na kuboresha taarifa za usajili wa namba za utambulisho wa mlipa kodi (TIN) ambapo kuanzia sasa zoezi hilo litakuwa endelevu katika mikoa yote nchini ya bara na visiwani.