Tsunami nyingine yaikumba Chadema, wanachama wake 27 Kigoma wajiunga na CCM, Polisi yalipua bomu la aliyedai kutekwa, yasema alijiteka ili kujipa umaarufu kisiasa, Serikali yaja na Bajeti ya trilioni 32/-, deni la Serikali lafika trilioni 47.75…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Machi 14, 2018.
Uncategorized