Walinzi wa kampuni binafsi ya Guardaworld, wameeleza tumaini lao jipya walilolipata baada ya kusajiliwa katika mradi wa utambuzi wa kampuni binafsi za ulinzi na walinzi wake, mradi wa PSGP.

Mradi huo ni mfumo wa TEHAMA, wa kuratibu sekta ya ulinzi binafsi nchini ambao unatekelezwa na kampuni ya DataVision International kwa kushirikiana na vyama vya kampuni za ulunzi binafsi na Jeshi la Polisi…, Bofya hapa kutazama.

Ndege ya jeshi yatua Serengeti kubeba mwili wa mtoto wa Jenerali Mabeyo
Chanjo ya pili ya Ebola yatangazwa DRC