Uchunguzi mpya Escrow waiva, jopo la wachunguzi wa kimataifa kukabidhi ripoti Serikalini, Bunge lashindwa kupitisha wagombea wa upinzani EALA, uteuzi wao umekiuka kanuni haukuzingatia jinsia…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 4, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE