Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema tarehe moja Septemba ni siku ya kufanya usafi kwa kuungana na Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) ambalo linaazimisha miaka 52 toka lianzishwe kwa kufanya usafi tarehe hiyo, ambapo pia tarehe 1 septemba ni siku ya mashujaa. Bofya hapa kutazama video #USIPITWE

Video: Makonda awataka wananchi kuungana na JWTZ kufanya usafi tarehe 1 Septemba
Video: Mo Dewji amhakikishia Waziri Mkuu kuiunga mkono Serikali, Atangaza kuwekeza zaidi