Watu wengi hupendelea kufanya mapumziko fukweni hasa siku za mwishoni mwa wiki, zipo bichi nzuri na za gharama zaidi, lakini pia zipo bichi hatari zilizoripotiwa hapa duniani na kushauriwa kutokanyagwa na watu kutokana na kuhatarisha maisha, kwani kukanyaga bichi hiyo inaweza kusababishia kupoteza maisha au kilema cha milele.

Katika ulimwengu kuna vitu vizuri, vya ajabu na vya kushangaza, tazama hapa chini sababu ya marufuku kukanyaga katika ‘beach’ hizi.

Pancho: Nikifa sitaki kuagwa Leaders club, nirudishwe kwetu
Video: Tundu Lissu atoboa majanga ya Mbowe, Jinamizi la MV Nyerere latanda