Msanii wa Hip Pop, Nikki wa Pilli kutoka kundi  la Weusi akiwa amemshirikisha Rapa Chin Bees kutoka Wanene Entertainment mapema leo hii wameachia ngoma yao mpya inayoenda kwa jina la kihasara.

Kama ilivyo kawaida ya wasanii kushirikiana kufanya promo ya wimbo mpya ukiaachiwa, Kupitia akaunti yake ya instagram Vanessa Mdee au Cash Madame ameupeperusha wimbo huo na kuandika baadhi ya mistari anayoikubali katika wimbo Kihasara ambapo ameandika,

”Hunisomi au hata picha huoni. Usione nimekaa #Kihasara nakula matunda yangu. NAIPENDA HII NGOMAAAAAA ?????? @nikkwapili ft @chinbees link in their bios ?????? dah ??????” .Vanessa Mdee.

Kuwa wa kwanza kusikiliza na kuangalia ngoma hii, sapoti vya ndani na chora maoni yako mstari gani umeupenda katika ngoma hii.

Everton yamkata Rooney mshahara wa wiki mbili
Video: Real Madrid yaangukia pua, yapigwa na Real Betis