Video ya Lissu yazua gumzo, oparesheni 17, Nassari aivimbia Takukuru, ni kuhusu flashi zake tuhuma za rushwa Arusha, Vigogo wa CCM kizungumkuti, ni wakuu wa wilaya na wakurugenzi, watakiwa watumie hekima kujitathmini, TMA yaonya mvua kubwa zinakuja…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 18, 2017. Tazama video

Serikali yalipa Bilioni 190 kwa kipindi kifupi
Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Kenya IEBC aachia ngazi