Asubuhi ya leo june 21 2016 wabunge wa upinzani bungeni wametoka tena nje ya ukumbi wa bunge baada ya dua kusomwa na naibu spika Dk. Tulia Ackson.

Wabunge hao wameeleza kuwa hawaridhishwi na uongozi wa Naibu Spika Tulia Ackson na sasa wanaendelea na vikao vyao nje ya Bunge.

Lowassa ampongeza Rais Magufuli kwa hili
Trump anusurika kifo.