Wabunge upinzani watofautiana bungeni, Mbowe atoka na msimamo mkali Segerea, asema Chadema inajipanga kutoa tamko la kesi yao, kueleza kwa undani maisha ya jela, Serikali yataka mwendokasi kesiya Mbowe, Magufuli: Bei ya umeme ishushwe…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Aprili 4, 2018.
