Wajanja ‘wapiga’ Sh280 milioni mazishi ya Sitta, ripoti ya tathmini ya utendaji ya PPRA yasema hakuna nyaraka za ununuzi wala vocha za malipo zilizowasilishwa, CCM mambo hadharani, yakataa majina ya wagombea wa wilaya nne, JPM atoa taarifa ya Kinana kutohudhuria vikao, Lissu alivyofunika matukio 15 Septemba…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 1, 2017. Tazama video

Rukwa watahadharishwa kujiandaa na msimu wa mvua
Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 1, 2017