Jeshi la Wananchi limesema siku ya tarehe 1 septemba,linawakaribisha wananchi wote kushiriki katika shughuli mbalimbali zitakazofanyika siku hiyo ikiwemo kufanya usafi na shughuli za michezo.

STDFAA Wamtaka Nape Kuharakisha Sera Ya Filamu
Video: Makonda awataka wananchi kuungana na JWTZ kufanya usafi tarehe 1 Septemba