Wanaume wakaazi wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam wamefunguka kuhusu ripoti ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyoonesha kuwa asilimia 24 ya wanaume wakazi wa wilaya hiyo wana tatizo la nguvu za kiume.

Timu ya Dar24 kupitia kipindi cha On The Bench imepiga kambi katika eneo la Manyanya, Kinondoni ikiwa na Daktari kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Wananchi walifunguka maoni yao kuhusu tatizo hilo na sababu zake, wauza chipsi na mihogo nao wakamwaga siri za vyakula hivyo.

Masuala ya imani nayo yaliibuliwa na Daktari akajibu maswali na kutoa ufafanuzi kitaalam. Kijiwe kilinoga kweli, watu wakapata kahawa na kashata. Kilichofuata….

Hakikisha unaiangalia hii video hapa na toa maoni yako:

Yafahamu madhara 9 ya kuchora Tattoo mwilini
HESLB yatoa mwongozo kwa waombaji mkopo elimu ya juu 2019/2020

Comments

comments