Bei ya nyama imetajwa kushuka kwa kiasi kikubwa hali ambayo wafanyabiashara wa nyama wanalalamikia huku wakiwa na sababu mbali mbali.

Sauti Zetu ya Dar24 imezungumza na wauza nyama jijini Dar es salaam ambapo wamethibitisha bei ya nyama kushuka. Wauza nyama hao wamesema pamoja na kuwa bei ya nyama imeshuka lakini bado hakuna wateja na hali imekuwa mbaya kibiashara. “Bei imeshuka lakini bado wateja hakuna totauti na tulivyotegemea”.

Bofya hapa kutazama zaidi

CAF Yatoa Baraka CCM Kirumba
Neema: Nitamuombea Rais Magufuli mpaka mwisho wa maisha yangu