Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa Balozi Augustine Mahiga amepokea msaada wa maadawati kutoka Jumuiya ya Maboora ambapo amesema utekelezaji wa elimu bure umeanza na changamoto nyingi ikiwemo ya upungufu wa madawati

Picha: Mabingwa Wa Euro 2016 Wapokelewa Kishujaa
Naibu Waziri, Jafo Atembelea Shule Iliyoungua Moto Lindi