Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Filip Mpango amewapongeza PPRA kwa kuokoa Sh 3.39 bilioni kupitia uchunguzi iliyofanya kwenye taasisi 5,  na kuahidi kuwaweka kwenye kumbukumbu ya watanzania ambao ni wachapakazi wanaojali maslahi ya nchi.

Aidha, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwachunguza na kuwafikisha mahakamani waliotajwa kusababisha hasara ya bilioni 4.36 za Kitanzania.

Bofya hapa kutazama:

 

 

Majaliwa ashusha rungu kwa Watendaji kata, Ujauzito kwa wanafunzi
Video: Mkuu wa wilaya ya kilolo aingia 18 za Majaliwa, Fedha uchaguzi mitaa zageuka kaa la moto