Naibu Waziri Mteule, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Walemavu, Abdallah Possi amesisitiza Watu wenye ulemavu kupewa kipaumbele maalum katika kupata fursa za kujiajili.

“Mtu mwenye ulemavu akipata mtaji wa kifedha, akipata mtaji wa kifedha ataondokana na ile dhana ya kutegemea msaada wakati wote” – Naibu Waziri Possi

Rais Magufuli Aungwa Mkono kwa Juhudi Zake
Mashambulizi ya Kituo cha Polisi Kapenguria Bado Sintofahamu