Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameagiza waajiri kuhakikisha waajiriwa walio rasmi na ambao si rasmi wanapewa muda wa masaa mawili kwa mama aliyejifungua kwa muda wa miezi 6.

Ummy amesema kuwa muda huo ni nje ya miezi mitatu ambayo mama anapewa mara baada ya kujifungua.

Agizo hilo limetolewa leo pindi akiongea na vyombo vya habari.

Bofya hapa kusikiliza.

Video: Jerry Murro atoa maagizo mazito baada ya kuapishwa kuwa DC Arumeru, "Nimepigiwa simu sana"
Video: Usiombe kukutana na wanyama hawa