Wizara Ya Maliasili Na Utalii imepanga kuboresha mipango mikakati ya wizara hiyo ili kuweza kuongeza na kukuza pato la taifa kupitia utalii wa ndani.
Hayo yamesmwa na naibu waziri wa maliasili na utalii, Ramo Makani alipokua akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Makani alisema Wizara hiyo itaanzisha na kuendeleza utalii wa fukwe na bahari, kuboresha na kuimarisha utalii wa wageni wa ndani na ukusanyaji mapato ya ndani. Bofya hapa kutazama video

Maalim Seif agoma kumshika mkono Dk. Shein Msibani
Gondwe Aunguruma Handeni,Apiga Marufuku Kucheza Bao Na Pool Table Wakati Wa Kazi