Mpenzi wa mwanamuziki Nasib Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnum,, Zari alisimamisha shughuli katika maduka yaliyopo Mlimani City alipokwenda kuzindua duka jipya la samani, Danube.

Purukushani zilitawala nje ya duka hilo wakati kila mmoja akijaribu kumsukuma mwenzake ili aweze kumuona Zari aliyekuwa ameketi katika makochi akizungumza na wafanyakazi wa duka hilo.

Aidha, ujio wa Zari nchini amekuwa na mvuto kwa kuwa mashabiki wamekuwa wakilinganisha matukio katika maisha ya Diamond, Zari na Hamisa Mobeto

Crystal Palace wapata ushindi wa kwanza EPL, wampiga bingwa mtetezi
Video: Dkt. Mwakyembe aipongeza Kampuni ya DataVision International