Baada ya timu ya Yanga kundolewa kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika na Zesco kwa kufungwa mabao 2-1 mashabiki wa timu hiyo wametoa maoni tofauti juu ya kiwango cha Yanga.

Ikumbukwe mchezo wa awali ulipigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salam na matokeo yalikua ni sare ya bao 1-1 hivyo basi Yanga wametolewa nje ya michuano hiyo na watashiriki mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika.
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=xCYec6BLEkk]

Kipimo cha UKIMWI kwa mdomo chazinduliwa Uganda
Hii Simba ya sasa inaweka rekodi tu