Viongozi wa vyama vya siasa nchini, wameitikia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kushiriki mkutano wa kujadili masuala mbalimbali ili kuboresha hatua za kisiasa kwa manufaa ya Taifa.

Walioitikia wito huo ni pamoja na Wenyeviti  na Makamu wao wakiwepo na Makatibu Wakuu wa vyama vyama mbalimbali vya siasa akiwemo Freeman Mbowe, Profesa Ibrahimu Lipumba, John Cheyo, Hamad Rashid Mohamed, Juma Duni Haji na Zitto Kabwe. 

Zifuatazo ni taswira mbalimbali za matukio machache kabla ya kuanza kwa mkutano huo, ambapo wengi wao wakati wakiwasili walitumia nafasi hiyo kusalimiana, kubadilishana maneno na kuonesha furaha miongoni mwao.

Vifo 32 matukio ya uokoaji, Zimamoto wataja sababu
Young Africans yakimbilia TFF