Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Viongozi wa Dini Ikulu ndogo, Mkoani Mwanza.

Viongozi hao pia wamemwombea dua ya kheri Rais Samia katika kuliongoza Taifa la Tanzania muda mchache kabla ya kwenda kuhudhuria Tamasha la Utamaduni Bulabo Juni 13, 2023.

Rais Samia akizungumza na Viongozi wa Dini Ikulu ndogo Mkoani Mwanza.
Rais Samia alipokuwa akisalimiana na viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza uliopo Ilemela Mkoani Mwanza Juni 12, 2023.

Ratiba EPL kuanikwa wazi Julai 15
Davies: FC Barcelona walinikataa kisa Canada