Boniface Gideon, Tanga.

Mgahawa wa kwanza unaotoa huduma za vyakula vya asili vinavyotokana na Rasilimali za Bahari ya Hindi umezinduliwa rasmi Jijini Tanga na unatarajiwa kutoa huduma za vyakula vya asili kwa Watalii wa ndani na nje ya Nchi.

Kwamujibu wa waandaji wa mgahawa huo wanaeleza kuwa Utakuwa Mgahawa maalumu kwa asilimia 90 kutoa huduma za vyakula vya viumbe Bahari na umezingatia utamaduni wa Maisha ya Jamii ya Pwani.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba alipongeza waandaji wa mgahawa huo kwakubuni na kuona fursa za Kiuchumi zinazotokana na Rasilimali Bahari.

Man City kuivurugia Arsenal usajili wa Rice
Wakongomani waikomalia Young Africans