Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya 23 wa Corona na kufikia idadi ya wagonjwa 58 kutoka wagonjwa 35 ambao taarifa zao zilitolewa tarehe 17 Aprili, 2020 .

Wagonjwa wawili kati ya wagonjwa wapya walifariki nyumbani kabla ya kuchukuliwa vipimo na kufanya jumla ya wagonjwa waliofariki kwa maambukizi ya Corona zanzibar kufikia watatu.

TANZIA: Mchungaji Rwakatare afariki dunia, mwanaye aeleza chanzo
Viatu vimethibitika kubeba virusi vya Corona