Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ametuma Salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti kufuatia vifo vya watu 15 vilivyotokea leo Oktoba 24,2020.

Aidha, watu 18 wamejeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea Ngara Mkoani Kagera.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Oktoba 25, 2020
Ajali ya basi yaua 13 Ngara

Comments

comments