Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni.

Taasisi hiyo imesema kuendesha mchezo huo bila usajili ni kinyume cha sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo.

Kwa mujibu wa kifungu namba 52 cha Sheria ya Michezo ya Kubahatisha ya mwaka 2003 pool table zote zinatakiwa kusajiliwa ili kuwezesha uendeshaji wa mchezo huo kihalali.

KMC FC yaiandalia dozi Mwadui FC
Tanzania yaongoza ukuaji uchumi kipindi cha Covid-19