
Danny Mrwanda ambaye aliwahi kuichezea Simba na Yanga pia ametapa shavu la kusajiliwa na tumu ya Majimaji ya mjini Songea
Mrwanda anarudi katika ligi kuu akiwa na hari mpya na lengo la usajili wake ni kuongeza nguvu katika safu yaushambuliaji katika timu ya majimaji FC.