Wananchi  wa mtaa wa Mikocheni Jijini Dar es Salaam, wameeleza waliofanyiwa na viongozi wao wa waserikali za mitaa huku wakiwaomba kushugulikia kero zinazowazunguka ikiwemo kuzibua mitaro iliyopo pembezoni mwa barabara katika mtaa huo.

Dar 24 imeongea na baadhi ya wakazi wa mtaa huo kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 24 mwaka huu, ili kujua mtazamo wao juu ya utendaji kazi wa viongozi wanaomaliza muda wao sasa…, Bofya hapa kutazama.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=6TbMZgbdoiw]

Ulaji wa Samaki umeshuka Tanzania
Ngorongoro Heroes yaipania Zanzibar